Added: Feb 23, 2008

From: gospelgtv

Duration: 3:5

This is my opinion, I have to speak my mind out. If someone thinks that by killing me will help, then what can i do? I have no gun, Kibaki and Kikwete have a lot of guns. What i have is a pen and small latter to write this.Kama kutoa maoni na mawazo yangu adhabu yake ni kifo, na iwe hivyo. Yalipotokea niliona. Mbona nisiseme? Kibaki alipatwa na ajali hata asingeweza kufanya kampeni. Raila akasema Kibaki Tosha na akatosha. Vipi leo Kibaki amgeuke mwenzake? Mbaya zaidi anaua kuwatisha wapenda haki wasimuulize.

Channel: News

Tags: animal  bush  girls  gospel  gtv  kenya  kibaki  kikwete  masai  mombasa  munishi  porn  sa  sex  tanzania 


Rating: 5.00 (1 ratings)    Views: 1908    Comments: 18

gospelgtv Says:

Feb 23, 2008 - Kama kutoa maoni na mawazo yangu adhabu yake ni kifo, na iwe hivyo. Yalipotokea niliona. Mbona nisiseme? Kibaki alipatwa na ajali hata asingeweza kufanya kampeni. Raila akasema Kibaki Tosha na akatosha. Vipi leo Kibaki amgeuke mwenzake? Mbaya zaidi anaua kuwatisha wapenda haki wasimuulize.

Munishi2 Says:

Feb 23, 2008 - This is my opinion, I have to speak my mind out. If someone thinks that by killing me will help, then what can i do? I have no gun, Kibaki and Kikwete have a lot of guns. What i have is a pen and small latter to write this.

DanielTMoi Says:

Mar 18, 2008 - Hi Pastor Muishi you are so confused you have tried so many things but it seems like you have lost you mind. You used to have word of God but now you sound empty. Please repent you sins and stop confusing yourself.

DanielTMoi Says:

Mar 18, 2008 - Hi Pastor Muishi you are so confused you have tried so many things but it seems like you have lost you mind. You used to have word of God but now you sound empty.

DanielTMoi Says:

Mar 18, 2008 - Hi Pastor Muishi you are so confused you have tried so many things but it seems like your have lost you mind. You used to have word of God but now you sound empty.

Munishi2 Says:

Mar 18, 2008 - Kenya inapowashwa moto na wanasiasa wenye uchu wa madaraka, Watumishi wa Mungu lazima tuseme ukweli. Najua unawauma wengine, lakini lazima niseme. Moi alikuwa mwalimu halafu mkulima nambari moja, tena mpenda watoto, halafu akawa rais wa Kenya. Yesu alikuwa mtoto, halafu akawa mwalimu, mwisho akawa mwokozi. Hakuna lazima ya mtu kufanya jambo moja tu maishani. Sijachanganyikiwa, ila natimiza wajibu wangu kama mtumishi wa Mungu. Kibaki alikosea kuiba kura na kusababisha vita vya kikabila Kenya.

gospelgtv Says:

Mar 18, 2008 - Mzee Moi alifuga mbwa akawa mkubwa mpaka akamshinda. Sasa anamuuma mwenyewe. Kwamba Bonde la ufa hawamsikilizi Moi tena hicho ni kitendawili kinachotakiwa kuteguliwa. Au iwe profesa wa siasa ndiye aliyecheza mchezo wote huu??? Akamdanganya Kibaki kwamba wako pamoja, Naye Kibaki akaiba kura kwa staili ya Moi, Halafu maji yalipozidi unga, Moi akajifanya mgonjwa. Cha ajabu hajaongea chochote cha maana hata kama watu zaidi ya elfu moja wamekufa. Je Moi Hausiki? Dunia ni duara, ukiizunguka utakuja.

gospelgtv Says:

Mar 18, 2008 - Wacheni Kumlaumu Munishi. Kama wanasiasa wasingeboronga mambo yao ya kisiasa, Mtumishi wa Mungu asingemlaumu yeyote. Kumtishia maisha Munishi hakutamsaidia Kibaki. Maji yameshazidi unga, akubali kwamba Wakenya wameerevuka na hawawezi tapeliwa kisiasa. Alijaribu kuwaletea katiba mbovu wakamkatalia usoni. Sasa amejaribu kuiba kura, WAKENYA WAMESEMA NOOOO!!!! AGAWE MADARAKA NA CHOCHOTE CHAWEZA TOKEA. Hana ujanja. Jamii ya kimataifa iko Macho. Mungu pia yuko macho kuangalia haki kwa kila Mkenya.

Oprahson Says:

Mar 18, 2008 - Pastor Munishi was once a great person and people used to listen to his songs which was annoited by holy spirit of God, now this guy is like he got so many spirits in his life chasing the World and trying to be fame in the wrong ways. Like President Moi said this guy is so confused and like Nebukadnezzer Munish will eat the grass very soon. You watch.

Oprahson Says:

Mar 18, 2008 - Munishi was once so annoited and people used to like his songs and listen to him preach. Today this guy have nothing and he is trying to chase the World and fame. Like what President Moi said this guy is so confused. Like Nebukadnezzer I think Munishi will soon eat the grass. You watch.

Oprahson Says:

Mar 18, 2008 - Munishi was once so annoited and people used to like his songs and listen to him preach. Today this guy have nothing and he is trying to chase the World and fame. Like what President Moi said this guy is so confused. Like Nebukadnezzer I think Munishi will soon eat the grass. You watch.

Oprahson Says:

Mar 18, 2008 - Munishi was once so annoited and people used to like his songs and listen to him preach. Today this guy have nothing and he is trying to chase the World and fame. Like what President Moi said this guy is so confused. Like Nebukadnezzer I think Munishi will soon eat the grass. You watch.

Munishi2 Says:

Mar 19, 2008 - Kibaki was once respected but not anymore. He has let Kenyans down. The man is so ashamed that nobody listen to what he says anymore. even Kikuyus hate him. They feel safe with Raila than Kibaki. Wanasema aliiba mchana kila mtu akiona, akawachonganisha na makabila mengine, ona sasa amewaachaje? Wanasema Moi alikuwa sawa kumwita GOIGOI. Alipojaribu kusema Wakikuyu warudi walikotimuliwa, hawakumsikia. Raila aliposema warudi wakarudi. Nani anaeongoza Kenya??

Munishi2 Says:

Mar 19, 2008 - Kuwa mtumishi wa Mungu siyo kuyafumbia macho maovu, Hata kama yamefanywa na Kibaki. Mungu hapendi dhuluma. Kibaki aliwadhulumu wakenya wapiga kura. Munishi nikimkemea wapenda haki wote wananiunga mkono. Wale waliopokea rushwa kuyakingia kifua maovu ndio wanaonipinga hapa. Mfano NATION MEDIA. Wameumbuka kwamba pamoja na kutumia nguvu ya Media, hawakufua dafu kuweza kuufunika uovu wa Kibaki na matajiri wachache waliotaka kuitumbukiza Kenya katika dimbwi la damu. Wamejua wananchi ni zaidi ya MEDIA

masaikweli Says:

Mar 19, 2008 - Pasror Munishi tell them the truth. Do not fear. Even if Kibaki is using Nation Media to fight back. Mimi ni maasai. Sijaona rais anayewacha watu wake na njaa, na kupanda maua Nairobi. Tutakula Maua? Tena Kibaki hapendi masikini. Anataka Kenya iwe kama kilabu ya golf. Ona alipoingia madarakani baada ya kusaidiwa na Raila, alianza kuharibu biashara ya matatu iliyokuwa ikiendeshwa na watu wa kipato cha chini. Lengo lilikuwa kuwasumbua waache ili matajiri waanze CITY HOPPA. Huyu ni rais kweli? afai

masaikweli Says:

Mar 19, 2008 - Wakenya wastahili PONGEZI. Hii ni mara ya pili wananchi wameonyesha kukomaa kisiasa kiasi cha kutokubali kutapeliwa na wanasiasa wanaotumia MEDIA. Hili ni pigo kubwa kwa Wanahabari wafisadi pamoja na wanasiasa wenye uchu wa madaraka kama KIBAKI. Historia imeandikwa kwamba nguvu ya wananchi imezidi ile ya Media wanaodhani kwamba wao tu, ndio wenye uwezo wa kugeuza maoni. Ukweli umetawala, na uongo wa Media umeshindwa. TUNAMPONGEZA MUNISHI KWA UJASIRI WAKE KUYAKEMEA MAOVU DUNIANI. HEKO MUNISHI.

gospelgtv Says:

Mar 19, 2008 - TUNAYACHUKULIA MALALAMIKO YA MUNISHI KWA UZITO UNAOYASTAHILI. ANASEMA ANAFUATWA KILA AENDAKO, ANAPATA SIMU ZA KUTATANISHA, ISITOSHE NATION MEDIA WAMEANZA KAMPENI ZA KUMCHAFULIA JINA MUNISHI. TUNAJUA UZITO ULIO KATIKA MADAI HAYO NDIYO MAANA TUNATOA MWITO KWA WAPENDA HAKI KOTE DUNIANI KUMUOMBEA MCHUNGAJI MUNISHI. TUNAMTAKA ASIMAME NA YALE ANAYOONA NI KWELI, NA ASIJALI MATISHO YA WANASIASA PAMOJA NA WANAMEDIA WAFISADI. mUNGU AWASAMEHE NATION MEDIA, KWANI HAWAJUI WAFANYAYO. lAKINI AIBU NI KWAO NBG

Munishi2 Says:

Mar 20, 2008 - Bunge limebadili katiba ya Kenya. Rais hana madaraka kama ilivyokuwa kwenye katiba ya zamani. Ukabila Kenya utaisha kwani rais hana madaraka ya kuweka watu wake. Bunge litakuwa na nguvu kuliko kiongozi binafsi. Hiyo ni hatua nzuri inayopaswa kuigwa na Tanzania ambao bado katiba ya Nyerere inampa rais madaraka zaidi ya Mungu. ili uwe kiongozi kenya unahitaji wingi wa wanaokuunga mkono. Kabila lako pekee halitoshi, ni lazima uwahitaji wengine. Katika kufanya hivyo, UKABILA UTATOKOMEA MBALI.

bkithuku Says:

Jun 4, 2008 - Munishi siku hizi ni mwehu tu, kichaa kabisa yani. Anahitaji matibabu, ana ugonjwa wa akili dhahiri kabisa!

yeyendulu Says:

Jun 4, 2008 - Go to Tz uhahubirie na wakupe maziwa ya maweze. Stop being irrelevant.

VBTB7 Says:

Jun 7, 2008 - Munishi thanks, but i think you better leave these issues of politics and just go gospel. Don't pin-point or blame so and so. Pray for them and preach the WORD in your music for justice. Don't enter deep into worthless adjusments, Like someone said, your gospel may loose meaning coz there're may be those offended in your engagements in such issues. I also think that if you wish to point out some wrong, use a good approach without pinpointing as i told you.Take that piece of advice man of GOD!!

Ak2theNBA Says:

Aug 15, 2008 - Munishi and other critics of our beloved President Hon.Mwai Kibaki missed the point,It is and will always be the ODM leaders to blame on the chaos that erupted in Kenya.What did the voter had to do with talying of votes?for them to send people on a killing spree and continue pretending to the good guys.SALIM LONE(spiritual leader) of ODM was the cause and should be investigated.